imewekwa Tar: February 8th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Sumbwanga Dk. Khalfan Haule kuhakikisha anatafuta dawa ya kuulia panya wakiwa mashambani ili kuokoa miti kutokana na uchomaji wa ...
imewekwa Tar: February 4th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo ameagiza mkuu wa shule ya sekondari Muhama Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa kuchukuliwa hatua kwa tuhuma za kuwatoza wanafunzi michango ya Sh5,000 kama gharam...
imewekwa Tar: February 4th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo ameagiza kusitishwa ujenzi wa kiwanda cha unga katika eneo la jirani na zahanati ya Kilimahewa kata ya Malangali wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa.
Mh. Wangabo...