imewekwa Tar: February 4th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo ameagiza kusitishwa ujenzi wa kiwanda cha unga katika eneo la jirani na zahanati ya Kilimahewa kata ya Malangali wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa.
Mh. Wangabo...
imewekwa Tar: February 3rd, 2018
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameagiza kuwasaka na kuwakamata wananchi wote waliokiuka amri ya mahakama ya kutoutumia msitu wa hifadhi ya Malangali kwaajili ya matumizi ya kibinadamu.
A...
imewekwa Tar: February 2nd, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim wangabo amesikitishwa na kitendo cha wafanyabiashara kutumia mbinu mbalimbali za kukwepa kulipa kodi serikalini jambo linalorudisha nyuma maendeleo, hivyo kutoa siku ...