imewekwa Tar: January 25th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewasisitiza msimamizi mshauri wa ujenzi wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kalambo ambao ni Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kushirikiana na Mkandarasi SUMA JKT ...
imewekwa Tar: January 24th, 2018
Kampuni ya uchunguzi na utafiti wa madini, Helium One, ambayo kwa sasa inafanya utafiti wa gesi ya heliamu mkoa wa Rukwa imegundua kuwapo kwa futi za ujazo bilioni 98.9 za gesi hiyo katika maeneo iliy...
imewekwa Tar: January 22nd, 2018
Wakulima wa mkoa wa Rukwa wamehimizwa kuona namna ya kujiwekeza katika kilimo cha kahawa ili kupata zao mbadala la biashara kuliko kubaki katika zao moja la mahindi ambalo mara nyingine huwa na shida ...