imewekwa Tar: November 27th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameitaka Manispaa ya Sumbawanga kuhakikisha wanaboresha mazingira ya masoko yaliyopo kwenye Manispaa hiyo ili wananchi waweze kupata huduma kwenye maeneo hayo...
imewekwa Tar: November 17th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amezihimiza Halmashauri zote Mkoani humo kuhakikisha zinaongeza idadi ya mashine za EFD ili kuongeza ukusanyaji wa mapato yao katika halmashauri.
Amesema k...
imewekwa Tar: November 16th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameiagiza kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya inayoongozwa na Mwenyekiti wake Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga kuhakikisha wanashirikiana na Halmashauri kupungu...