imewekwa Tar: October 24th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen ameziagiza Halmashauri zote Mkoani kwake kuhakikisha wanakuwa na magulio rasmi ya kuuzia mahindi ili wakulima na wafanyabiashara waweze kufuata ut...
imewekwa Tar: October 22nd, 2017
Mkuu wa Mkoa wa rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amezishauri taasisi za kidini nchini kuhakikisha wanaangalia fursa za kuwekeza kwenye viwanda ili kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano...
imewekwa Tar: October 19th, 2017
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameagiza eneo lililokuwa shamba la mifugo la Malonje wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa lenye ukubwa wa ekari 12,750, lirejeshwe serika...