imewekwa Tar: October 10th, 2017
Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Bernard Makali ameahidi kusimamia michezo katika Mkoa wa Rukwa na kuhakikisha Mkoa haubaki nyuma katika mashindano mbalimbali ya kitaifa ikiwemo ligi kuu ya soka Tanzani...
imewekwa Tar: October 8th, 2017
Katika kujiandaa na msimu wa kilimo Uongozi wa Mkoa wa Rukwa chini ya Mkuu wa Mkoa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen wamezuru Taasisi ya Utafiti Kilimo (ARI) pamoja na Taasisi ya Utafiti wa Mifugo (TALI...
imewekwa Tar: October 4th, 2017
Uongozi wa Mkoa wa Rukwa chini ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kmaishna Mstaafu Zelote Stephen umeungana na ndugu wa majeruhi 9 na wafiwa wa vifo vya watu 15 vilivyotokea katika ajali ya lori aina ya fuso en...