imewekwa Tar: July 23rd, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna mstaafu Zelote Stephe amesikitishwa na kitendo cha halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa kuwa na hoja za kujibu zipatazo 60 ambazo zimesababisha halmashauri h...
imewekwa Tar: July 22nd, 2017
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Dk. Hamis Kigwangala amesikishwa na hali ya hospitali ya mkoa wa Rukwa kukosa damu ya kutosha kusaidia wagonjwa pindi dharura inapotokea.
Masikitiko hayo aliyatoa baa...
imewekwa Tar: July 19th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen ameonya vikali wale wanaoendeleza gumzo la kuwatetea wanafunzi wanaopata mimba wakitaka warudishwe shule huku watoto wao wakiwa wanawalin...