imewekwa Tar: October 2nd, 2023
Mkandarasi Beijing Construction Engineering Company Ltd ametakiwa kukamilisha kazi ya ujenzi wa kiwanja cha Ndege Sumbawanga kabla au ifikapo Machi 2025.
Maelekezo hayo yametolewa Oktoba 2...
imewekwa Tar: September 25th, 2023
Miradi 11 yenye thamani shilingi Bilioni 56.7 imekaguliwa na Kamati ya Siasa ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi Wilayani Kalambo.
Kamati hiyo iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa R...
imewekwa Tar: September 21st, 2023
Wito umetolewa kwa wazazi na walezi Mkoani Rukwa kuhakikisha kila mtoto aliye na umri wa chini ya miaka nane anapatiwa chanjo ya Polio ili kumkinga na ugonjwa wa huo.
Wito huo umetolewa na Mheshimi...