imewekwa Tar: August 20th, 2024
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Makongoro Nyerere ametaka matokeo ya Sensa 2022 yatumike katika kupanga na kutoa huduma kwa wananchi.
Mheshimiwa Makongoro ameya...
imewekwa Tar: August 20th, 2024
Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa wa Rukwa amefungua Semina ya Uwekezaji leo Agosti 20, 2024.
Semina hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa ...
imewekwa Tar: August 19th, 2024
Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa wa Rukwa amewakaribisha wawekezaji wa Sekta mbalimbali kwa ajili ya kuwekeza kibiashara Mkoani Rukwa.
Mheshimiwa Makongo...