imewekwa Tar: February 22nd, 2021
Wakati mvua zikiendelea kunyesha mkoani Rukwa na kuharibu baadhi ya miundombinu ya barabara na madaraja mkoani humo, shughuli za kibinaadamu zinazofanyika kando ya mito na barabara zimeendelea kuongez...
imewekwa Tar: February 18th, 2021
WANAFUNZI 6 wa shule mbalimbali za msingi wilayani Nkasi mkoani Rukwa wamefariki jana jioni ambapo Wanne walipigwa na radi na wawili kugongwa na gari katika maeneo tofauti,ambapo watatu kati ya waliop...
imewekwa Tar: January 30th, 2021
KATIBU wa afya wa halmashauri ya wilaya Nkasi Ibrahimu Kashatila (29) amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye kisima kilichopo mjini Namanyere.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kaimu kamanda...