imewekwa Tar: January 23rd, 2021
IMEBAINIKA kuwa mabaraza ya ardhi ngazi ya vijiji na kata yamekua ni chanzo kikubwa cha migogoro ya ardhi na kuwa ipo haja kwa serikali kutizama upya mfumo huo wa mabaraza.
Hayo yamesemwa na katibu...
imewekwa Tar: January 22nd, 2021
Mwenyekiti wa Kamati ya Amani Mkoani Rukwa Askofu Ambele Mwaipopo wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Ziwa Tanganyika Mikoa ya Rukwa na Katavi amemuomba Mkuu wa Mkoa huo Mh. Joachim Wangabo kufikisha salamu...
imewekwa Tar: January 21st, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo amemuagiza Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoani humo kuhakikisha anafanya msako wa Kijiji kwa Kijiji kuwasaka na kuwakamata waganga wa kienyeji wanaopiga ramli c...