imewekwa Tar: January 29th, 2026
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere amefanya ziara ya ukaguzi wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga leo Januari 29, 2026.
...
imewekwa Tar: January 28th, 2026
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Charles Makongoro Nyerere, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi kuhakikisha miradi inakamilishwa kwa wakati uliopangwa na kwa kuzingatia viwango vinavyotakiwa.
...
imewekwa Tar: January 27th, 2026
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere, ameongoza zoezi la upandaji wa miti 4,565 mkoani Rukwa leo Januari 27, 2026 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya kumbukizi ya Siku ya...