Aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan tarehe 16 Machi,2023 kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa. Kabla ya uteuzi huo, Bw. Kusaya alikuwa Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa