• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Rukwa Region
Rukwa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Sumbawanga
    • Wilaya ya Nkasi
    • Wilaya ya Kalambo
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Sumbawanga
    • H/Wilaya ya Nkasi
    • H/Wilaya ya Kalambo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Miundombinu ya Rukwa
  • Huduma zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Livestocks
    • Huduma za Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Huduma za Kisheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Fedha
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Waliofaulu na Waliochaguliwa Shule

Videos

  • RC Wangabo avionya vikundi vya kidini visivyofuata sheria.

    October 8th, 2018

    Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amevionya vikundi vya kidini vinavyoanzishwa baada ya kutokea migogoro kwenye makanisa na misikiti kufuata sheria katika kufanya shughuli zao za kiibada na sio kujianzisha kiholela.

    Amesema kuwa kila mtanzania ana uhuru wa kuabudu akiwa mmoja lakini linapokuja suala la kikundi basi hakuna budi kikundi hicho kifuate taratibu za kujisajili ili kiweze kutambulika na vyombo vya serikali kwani vyombo vyote vya kidini vinatambulika kisheria na vimesajiliwa.

  • Maporomoko ya Ntembwa - Nkasi.

    July 31st, 2018

    Ntembwa Falls - Nkasi, Rukwa.

  • Mganga Mkuu Rukwa atoa elimu ya kina ya Kipindupindu Rukwa

    May 23rd, 2018

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt. Boniface Kasululu ametoa elimu ya kina juu ya uzambazwaji wa ugonjwa hatari wa kipindupindu ulioua na kuathiri zaidi ya watu 500 ndani ya kipindi cha miezi sita. Ameyasema hayo katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika kambi ya Nankanga Bonde la Ziwa Rukwa.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • Next →

Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2021, Mkoa wa Rukwa December 18, 2020
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2019 - Rukwa October 17, 2019
  • NFRA YAANZA KUNUNUA MAHINDI August 18, 2021
  • UTARATIBU WA UOMBAJI WA VITAMBULISHO VYA UJASILIAMALI March 24, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • ZAHANATI KATONGOLO YAPUNGUZA UMBALI WA KUPATA HUDUMA

    June 26, 2024
  • RC MAKONGORO AAGIZA UCHUNGUZI UKUSANYAJI WA MAPATO HALMASHAURI YA WILAYA YA NKASI

    June 25, 2024
  • HALMASHAURI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA YATAKIWA KUWEKA MPANGO WA KULIPA MADENI.

    June 18, 2024
  • KONGAMANO LA WAMACHINGA LAFANYIKA RUKWA

    June 12, 2024
  • Angalia Zote

Video

LIVE- WAZIRI MCHENGERWA ANATAO TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Wapitiaji

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa