Mkuu wa Mkoa wa Rukwa kamishna Mstaafu Zelote Stephen alipotembelea banda la Agricom katika Maonyesho ya Nane nane Kikanda yaliyofanyika Mbeya kwa mwaka 2017.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa kamishna Mstaafu Zelote Stephen anesifu teknolojia iliyovumbuliwa na wanafunzi wa Chuo cha ardhi kwa kuweza kurahisisha matumizi ya maji katika kilimo na hatimae kuachana na kilimo cha kutegemea mvua.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa kamishna Mstaafu Zelote Stephen amewashauri Askari magereza kuwatumia vizuri wafungwa katika uzalishaji wa Bidhaa mbalimbali ili wanapotoka wawe na ujuzi na kuweza kujiajiri
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa