Kusimamia na kutoa huduma kwenye halmashauri husika kuhusu maendeleo ya sekta ya maji
Majukumu ya Seksheni ya Huduma za Maji
Hadi kufikia mwezi Desemba, 2016 asilimia 50.2 ya wakazi wa Mkoa wa Rukwa wanapata huduma ya maji safi na salama kupitia miradi 230 iliyopo ambapo miradi 26 kati ya hiyo imejengwa chini ya Programu ya maendeleo ya Sekta ya Maji (WSDP) na miradi 204 ilijengwa na serikali kupitia programu mbalimbali ikiwemo Mpango kabambe wa maji, NORAD, RUDEP, TASAF na Quickwins. Hali ya upatikanaji wa maji ni kama inavyoonekana kwenye Jedwali Na. 1.
Jedwali Na. 1: Hali ya upatikanaji wa huduma ya maji
Na.
|
Halmashauri
|
Asilimia ya watu wanaopata huduma ya Maji |
|
SUWASA
|
76 |
|
Sumbawanga MC
|
50 |
|
Sumbawanga DC
|
46 |
|
Nkasi DC
|
46 |
|
NAUWASA
|
16 |
|
Kalambo DC
|
55 |
Wastani |
50.2 |
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa