NFRA KANDA YA RUKWA YAANZA KUNUNUA MAHINDI
Wakulima na wananchi wa Mkoa wa Rukwa wanajulishwa kuwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Kanda ya Rukwa umeanza zoezi la kununua mahindi toka kwa wakulima
Kwa mujibu wa taarifa ya Wakala huo bei ya shilingi Mia Tano (500/-) kwa kilo ndio inayotumika Hivyo wananchi wenye nia wanaweza kutembelea vituo vya ununuzi wa mahindi chini ya wakala kujua taratibu zingine
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa