Sunday 22nd, December 2024
@Sumbaawanga
Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI, Kifua Kikuu, Dawa za Kulevya na Magonjwa yasiyoambukiza inafanya zaiara ya siku mbili kwenye Halmashauri za Manispaa ya Sumbaanga na Halamashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kuanzia tarehe 27 hadi 28 Septemba 2021 kwa lengo la kukagua shughuli za utoaji huduma za afya.
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa