Tuesday 21st, January 2025
@Sumbawanga
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa kushirikiana na Mkoa wa Rukwa umeandaa kikao cha hamasa kwa ajili ya kuutambulisha mpango wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka mitano (UnderFive Birth Registration Initiative-U5BRI)
Kikao kitafanyika tarehe 02.11.2021 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ,Mjini Sumbawanga.
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa