Tuesday 21st, January 2025
@Sumbawanga
Tarehe 09 Desemba mwaka huu Tanzania Bara itaadhimisha sherehe ya miaka 60 ya Uhuru. Kimkoa maadhimisho haya yatafanyika kaika kijiji cha Kaengesa Wilaya ya Sumbawanga tarehe 08 Desemba mwaka huu ambapo mgeni rasmi atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti
Kauli Mbiu: Miaka 60 ya Uhuru: Tanzania Imara.Kazi Iendelee.
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa