Sunday 22nd, December 2024
@Rukwa
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaadhimisha siku ya hali ya hewa Duniani tarehe 23 March kukumbuka siku lilipoanzishwa shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) mwaka 1950. Kauli mbiu ya mwaka huu ni "Jiweke Tayari na Zingatia Taarifa za Hali ya Hewa"
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa