Tuesday 21st, January 2025
@Sumbawanga
Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ngazi ya Mkoa wa Rukwa yatafanyika kimkoa katika kijiji cha Ilemba Wilaya ya Sumbawanga tarehe Mosi Desemba mwaka huu
Kauli Mbiu: "Zingatia Usawa : Tokomeza UKIMWI. Tokomeza Magonjwa ya Mlipuko"
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa