Wednesday 4th, December 2024
@
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Mama Anne Makinda atafanya ziara ya kikazi ya kuhamasisha wananchi na viongozi wa mkoa wa Rukwa kushiriki kwenye zoezi la sensa mwaka huu. Ziara hii itafanyika tarehe 08 Julai 2022 kwa kutembelea wilaya za Sumbawanga na Kalambo
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa