Monday 7th, October 2024
@
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa imeanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo ikiwa ni utekelezaji wa Ilani Uchaguzi ya Mwaka 2020-25.
Zizara hiyo itafanyika kwa siku saba katika Halmashauri zote nne za Mkoa wa Rukwa ambapo wajumbe watakagua miradi ya Halmshauri.
Kwa Mujibu wa ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa inasema ziara itaanza tarehe 09 Machi 2022 kwa kutembelea Halamshauri ya Wilaya ya Nkasi na itamalizika tarehe 16 Machi 2022.
Taarifa zaidi zitakuwa zikitolewa kwenye tovuti hii. Fuatilia
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa