Sunday 22nd, December 2024
@Sumbawanga
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili kwenye wilaya ya Kalambo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imesema ziara hiyo itaanza tarehe 26 na 27 Octoba mwaka huu ambapo atatembelea, atakagua miradi ya maendeleo pia atazungumza na wananchi kwenye mikutano ya hadhara.
Kujua yatakayojili kwenye ziara hiyo tembelea mitandao ya kijamii ya Mkoa wa Rukwa.
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa