Wednesday 5th, February 2025 @Sumbawanga
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora Deogratius Ndejembi leo ameanza ziara ya kikazi mkoani Rukwa.