Naibu waziri OR - TAMISEMI na Mbunge wa jimbo la Kalambo mh. Josephat Kandege (wa Kwanza) akifuatiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa Reina akifuatiwa na Katibu tawala wa mkoa wa Rukwa Benard Makali, akifuatiwa na Mkuu wa mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo pamoja na Mkuu wa Mbunge wa Kwela Mh. Ignus Malocha katika kikao cha Bodi ya barabara.
Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda (wa kwanza kushoto) akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya kalambo mh. Julieth Binyura pamoja na wajumbe wengine wa kikao cha bodi ya barabara Mkoani Rukwa wakifuatilia kwa makini kikao hicho.
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akitoa maelekezo wakati wa kufunga kikao cha bodi ya barabara Mkoani Rukwa.

Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa