Kitengo Cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kina lengo la kutoa huduma za kitaalamu juu ya matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwa Sekretarieti ya Mkoa, Aidha Kitengo hiki kinaongozwa na Mchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta Mkuu ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa
Majukumu ya Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
Kitengo hiki kinaongozwa na
Regional Block, 90 Mwl. Julius Nyerere Road
Sanduku la barua: Box 128 Sumbawanga
Simu: 025 280 2137
Simu: 0756941328
barua pepe: ras@rukwa.go.tz
Hakimiliki © 2017 Mkoa wa Rukwa. Haki Zote Zimehifadhiwa