imewekwa Tar: May 13th, 2023
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Cuthbert Sendiga amewaasa waandishi wa Habari Mkoani Rukwa kufanya kazi zao kwa kuzingatia misingi na maadili ya uandishi wa habari.
Ameyasema...
imewekwa Tar: May 11th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mh. Queen Cuthbert Sendiga amekabidhi misaada ya kiutu kwa kwa wahanga wa mafuriko yaliyotokea mapema mwezi Aprili 2023 katika Kata ya Mfinga Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga...
imewekwa Tar: May 5th, 2023
BILIONI 55.9 ZALIFUNGUA ANGA LA SUMBAWANGA
Mkataba wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Sumbawanga umetiwa saini kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya...