imewekwa Tar: August 9th, 2022
RC Sendiga :Niko Tayari kwa Kazi hapa Rukwa.
Na. OMM Rukwa
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mheshimiwa Queen Sendiga leo (09.08.2022) amewasili katika Kituo chake cha kazi Mkoa wa Rukwa kufuatia kute...
imewekwa Tar: July 10th, 2022
MAKINDA: HAKIKISHENI WATU WOTE WANAHESABIWA SIKU YA SENSA
Kamisaa wa sensa na Spika Mstaafu Anne Makinda amewataka viongozi wa mkoa wa Rukwa kujipanga kuhakikisha watu wengi zaidi wanajitokeza siku...
imewekwa Tar: July 8th, 2022
ZOEZI LA SENSA SI LA KISIASA BALI KISHERIA- RC MKIRIKITI
Na. OMM Rukwa
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti amewataka wajumbe wa kamati ya sensa ya mkoa kuhakikisha wananchi wengi wakiwemo wen...