imewekwa Tar: May 28th, 2024
Maadhimisho ya siku ya hedhi salama yamefanyika leo tarehe 28 Mei, 2024 Mkoani Rukwa yakiongozwa na Mheshimiwa Nyakia Ally Chirukile, Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga akimuwakilisha Mkuu...
imewekwa Tar: May 22nd, 2024
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Makongoro Nyerere amewataka wananchi wanaohitaji kununua ardhi katika maeneo ya vijiji kuzingatia Sheria ya Ardhi ya vijiji wakati wa kununu...
imewekwa Tar: May 20th, 2024
Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere, Mkuu wa Mkoa wa Rukwa amewataka Wakandarasi wote wanaotekeleza miradi ndani ya Mkoa wa Rukwa kuikamilisha kwa ubora na kwa wakati.
M...