imewekwa Tar: December 15th, 2021
Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb) anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili kwenye wilaya za Sumbawanga, Kalambo na Nkasi kuzindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya maji Vijiji...
imewekwa Tar: December 8th, 2021
RC MKIRIKITI: MIAKA 60 YA UHURU IFANYE WATUMISHI WA UMMA KUSHIKAMANA
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti amewataka watumishi wa umma kutumia sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzan...
imewekwa Tar: December 7th, 2021
KORONA IPO TUENDELEE KUCHANJA- RC RUKWA
Wananchi wa Namanyele wilaya ya Nkasi wamehamasishwa kuendelea kujitokeza kupata chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa korona ili waepuke kuambukizwa .
Wito...