imewekwa Tar: July 9th, 2024
Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere, Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, amewataka wazazi na walezi kuzingatia lishe kwa watoto katika siku 1000 za kwanza za ukuaji ili kujenga jamii yenye afya ...
imewekwa Tar: June 30th, 2024
Serikali imetumia kiasi cha kiasi cha Shilingi Milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa majengo mapya ya wagonjwa wa nje (OPD) na Maabara kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Kata ya Senga.
Hat...
imewekwa Tar: June 28th, 2024
Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere ametoa siku 14 kwa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga kukamilisha maabara katika Shule ya Sekondari Mazoezi iliyopo Kata ya Chanji.
...